MASTAA watano wa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Zoran Maki wamewasili nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23.
Ni Taddeo Lwanga,Peter Banda,Moses Phiri,Henock Inonga na Nassoro Kapama ilikuwa ni Julai 18 na walianza mazoezi pamoja na mastaa wengine ikiwa ni pamoja na John Bocco,Meddie Kagere