>

VIDEO:KOCHA MPYA SIMBA AMEKUBALI MASHARTI ALIYOPEWA

UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba, Kocha Mkuu Zoran Maki amekubali kuweza kusimamia malengo na dira ya timu hiyo kwa msimu ujao wa 2022/23.

Masharti ambayo amekubali kuweza kutimiza ni pamoja na kutwaa Kombe la Ligi Kuu Bara,Kombe la Shirikisho,Ngao ya Jamii pamoja na kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

Maki amepewa mkataba wa mwaka mmoja amao una kipengele cha kuzungumza ikiwa atafanya vizuri na ametambulishwa na Mkuu wa Kitengo ca Habari na Mawasiliano,Ahmed Ally.