BREAKING:NYOTA WA KIMATAIFA ATAMBULISHWA YANGA
NYOTA wa kimataifa kutoka Burundi Gael Bigirimana ametambulishwa leo ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Ni kiungo mshambuliaji Bigirimana ambaye yupo kwenye ardhi ya Tanzania kwa ajili ya kuwa na Wananchi ambao wameamua jambo lao. Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga imeeleza kuwa nyota huyu ni zawadi kutoka kwa rais wa…