VIDEO:CEO YANGA AFUNGUKIA KUHUSU USAJILI,ATAJA WALIOLETA MATAJI

SENZO Mbatha,Mtendaji Mkuu wa Yanga ameweka wazi kwamba ni furaha kubwa kwa timu hiyo kuweza kutwa mataji matatu kwa msimu wa 2021/22 huku akibainisha kwamba Haji Manara ni sehemu ya watu ambao wameweza kuleta matokeo hivyo matokeo ambayo wameyapata ni ya kila mmoja na wana jambo la kutamulisha wachezaji wao na kwa mashabiki kuweza kuwaonyesha