SIRI YA MABAO 17 YA MPOLE HADHARANI
FRED Felix Minziro, Kocha Mkuu wa Geita Gold, amebainisha wazi sababu kubwa ya mshambuliaji George Mpole kufunga mabao 17 ni kutimiza majukumu aliyopewa. Mpole ni mzawa aliyeibuka kinara wa mabao Ligi Kuu Bara 2021/22 akimpoteza Fiston Mayele wa Yanga raia wa DR Congo mwenye mabao 16. Akizungumza na Spoti Xtra, Minziro alisema: “Tulikuwa tunahitaji pointi…