BREAKING:YANGA MABINGWA KOMBE LA SHIRIKISHO
KIKOSI cha Yanga kinachopewa minu na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo kimetwaa taji la Kombe la Azam Sports Federation maarufu kama FC kwa ushindi wa penalti mbele ya Coastal Union. Ilikuwa ni fainali moja yenye ushindani mkubwa ndani ya dk 120 ambapo ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ulikuwa unasoma Yanga 3-3 Coastal Union….