
RATIBA YA LIGI KUU BARA IPO HIVI
LEO Juni 25 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo ratiba yake ni moto kwa timu zinazopambana kushuka daraja kwa kuwa hatma yao itaanza kufahamika leo. Ni Yanga ambao ni mabingwa wa ligi wao hawana presha zaidi ya kuendelea kusaka rekodi za kutofungwa kwa msimu wa 2021/22 ndani ya ligi Muziki kamili leo utakuwa namna hii:-Coastal…