
ISHU YA UFUNGAJI BORA MAYELE AFUNGUKIA
KINARA wa mabao wa Ligi Kuu Bara, Mkongomani Fiston Mayele ameibuka na kumwambia mpinzani wake wa Geita Gold, George Mpole hatakubali akiache kiatu cha ufungaji bora msimu huu. Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kufunga mabao mawili na kufikisha mabao 16 katika ufungaji huku mpinzani wake akifunga 15. Mkongomani huyo alifunga mabao hayo katika mchezo…