MWANDISHI Mkongwe Afrika, Nuhu Adams leo Julai 30, 2022 kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika kuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele ameuzwa kwa Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu.
“South African giants Kaizer Chiefs have completed the signing of Yanga striker Fiston Kalala Mayele (28) on a three-year contract, announcement soon. Mayele was 2nd highest scorer in the Tanzania Premier League this season with 16 goals. Here we go…” amesema Nuhu Adams
Kama itakuwa ni kweli basi ni pigo kwa mashabiki wa Yanga tunaendelea kuwatafuta Uongozi wa timu ya Yanga watatuletea taarifa zaidi kutoka kwao.