MATOKEO YA MECHI ZA LEO

LIGI Kuu Tanzania Bara leo inagota ukingoni ambapo mechi zinachezwa kwa mara ya mwisho msimu wa 2021/22.

Matokeo kwa sasa ikiwa mapumziko yapo namna hii:

Yanga 0-0 Mtibwa Sugar

Mbeya City 0-1 Namungo

Ruvu Shooting 1-0 Prisons

Coastal Union 1-1 Geita Gold

Azam FC 1-0 Biashara United

Kagera 0-0 Polisi Tanzania

Mbeya Kwanza 0-0 Simba

Dodoma Jiji 1-0 KMC