KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MBEYA KWANZA

KIKOSI cha Simba chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola leo kitakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Mbeya Kwanza.

Hiki hapa kikosi kitakachoanza:-

Beno Kakolanya

Jummsone

Gadiel

Onyango

Kenned

Lwanga

Kassim

Nyoni

Kibu

Banda

Mhilu

Akiba

Aly

Inonga

Bocco

Hassan

Shaffi