SIMBA YAFUATA STRAIKA GHANA, MAZUNGUMZO YANAENDELEA
SIMBA SC ipo katika mazungumzo ya mwisho ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji Augustine Okrah anayeichezea Bechem United FC ya Ghana. Timu hiyo imepanga kukiboresha kikosi chao kitakachowavusha hatua ya robo fainali ya michuano ya kimataifa watakayoshiriki msimu ujao baada ya misimu ya karibuni kuishia hatua hiyo. Wakati mshambuliaji huyo akitarajiwa kutua, Simba imepanga kuachana na…