MAYELE,FEISAL WAIBUKIA BUNGENI

MAJINA ya nyota wawili wanaocheza ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine nabi leo Juni 14,2022 yametajwa bungeni. Ni Fiston Mayele mshambuliaji namba moja ndani ya Yanga akiwa ametupia mabao 14 na pasi tatu pamoja na Feisal Salum ambaye alitupia bao la ushindi kwenye mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho uliochezwa…

Read More

WATATU WA YANGA KUIKOSA COASTAL UNION

MASTAA watatu wa Yanga wanatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Juni 14,2022. Diarra Djigui kipa namba moja wa Yanga anatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, kesho Jumatano saa 2:30 usiku ukiwa ni wa mzunguko wa pili. Sababu kubwa ambayo itamfanya aweze kuukosa mchezo huo…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA

 LIGI Kuu Tanzania Bara leo Juni 14 inaendelea ambapo kuna mechi mbili zitachezwa kwenye viwanja tofauti. Ni KMC yenye pointi 31 baada ya kucheza mechi 25 hii itamenyana na Tanzania Prisons yenye pointi 25 aada ya kucheza mechi 26. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru. Pia mchezo mwingine ni ule wa Kagera Sugar yenye…

Read More

SIMBA WAMVUTA MBADALA WA LWANGA

IMEELEZWA kuwa Simba imefikia makubaliano mazuri na uongozi wa Coastal Union ya kumnunua kiungo mkabaji Mnigeria, Victor Akpan. Kiungo huyo ni kati ya viungo bora wakabaji walioonyesha kiwango bora katika msimu huu ambaye anakuja Simba kuchukua nafasi ya Thadeo Lwanga ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu. Mnigeria huyo ndio alikuwa kikwazo katika michezo…

Read More

YANGA KUSAJILI MAJEMBE MANNE

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wamepanga kuongeza wachezaji wanne ama watatu wa kimataifa kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23.  Manara ameweka wazi kuwa kuna baadhi ya nyota kadhaa wanaocheza soka katika Ligi ya Afrika Magharibi, Ligi ya Afrika Kusini, Ligi ya Angola na nyota wa Kimataifa aliyewahi kucheza soka la kulipwa…

Read More

MTIBWA SUGAR WAPANDA KWENYE LIGI NAFASI MOJA

USHINDI wa mabao 3-1 waliopata Mtibwa Sugar unawapandisha kwa hatua moja kutoka nafasi ya 12 waliyokuwa mpaka ya 11 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara. Wakati Mtibwa Sugar wakiwa kwenye furaha mashabiki wa Ruvu Shooting wao wapo kwenye huzuni kwa sababu timu yao imeganda palepale ilipokuwa nafasi ya 13 na pointi zao ni 28. Mabao…

Read More

MPOLE KAFIKISHA MABAO 15 BONGO

 STAA wa Geita Gold, mzawa George Mpole kafikisha jumla ya mabao 15 ndani ya ligi akiwa ni namba moja kwa utupiaji kwa sasa. Bao la 15 alifunga mbele ya Dodoma Jiji ilikuwa dk ya 77 wakati timu hiyo iliposhinda mabao 2-0 Uwanja wa Nyankumbu jana. Anayefuata kwenye suala la utupiaji ndani ya ligi ni Fiston…

Read More