KOCHA SIMBA AANZA NA MUGALU

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba ambaye kwa sasa ni Kaimu Kocha Mkuu wa timu hiyo ameanza kazi kwa kuwapa mbinu wachezaji wa timu hiyo kwa ajili ya mechi zilizobaki. Ikiwa imecheza mechi 25 na kukusanya pointi 51 imebakiwa na mechi tano kukamilisha mzunguko wa pili na kufunga hesabu kwa msimu wa 2021/22. Matola Juni…

Read More

YANGA YAINYOOSHA JKT TANZANIA 3-2

KIKOSI cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki wa kuweza kujiweka sawa. Mchezo wa leo ni maalumu kwa ajili ya timu hiyo kujiweka sawa kuelekea mchezo wao wa ligi ujao. Juni 15,2022 Yanga inatarajiwa kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa…

Read More

KOCHA STARS AFICHUA TANZANIA ITAKAVYOFUZU AFCON

BAADA ya kupoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu Kombe la mataifa ya Afrika (Afcon 2023), Kocha Mkuu wa Stars, Kim Poulsen ameweka wazi kuwa atatumia michezo miwili ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (Chan), kama sehemu ya…

Read More

AZIZ KI KUVUNJA REKODI YA USAJILI YANGA

KIUNGO mshambuliaji wa Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast, Stephane Aziz Ki, huenda akavunja rekodi ya usajili ya beki wa kulia wa timu hiyo, Djuma Shaaban. Nyota huyo raia wa Burkina Faso inaelezwa yupo nchini Tanzania akiwa amefichwa na mabosi wa Yanga kwenye moja ya hoteli kubwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya…

Read More

PROFESSOR JAY ARUHUSIWA HOSPITALI

MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa amelazwa baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika. Leo Juni 10 Hospitali ya Taifa Muhimbili imeeleza taarifa hiyo kupitia kwenye mtandao wake wa kijamii. Nyota huyo aliwahi…

Read More

WACHEZAJI WAPIGWA MKWARA NA NABI

NASREDDINE Nabi,Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake bado wana kazi ya kufanya kwa ajili ya mechi zilizobaki na kufikia malengo ya kutwaa ubingwa wa ligi. Yanga ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo ikiwa na pointi 64 baada ya kucheza 26 na haijapoteza mchezo hata mmoja. Nabi amesema kuwa licha ya kuwaacha wapinzani wao…

Read More

KILICHOMUWEKA NJE AJIBU CHATAJWA

NYOTA wa kikosi cha Azam FC, Ibrahim Ajibu ameweza kurejea katika kikosi hicho hivyo anatarajiwa kuwa miongoni mwa wale watakaoonyesha makeke kwa mechi zijazo. Ingizo hilo jipya ndani ya Azam FC msimu huu liliibuka hapo kutokea ndani ya Simba na halijawa kwenye mwendo mzuri. Sababu kubwa za kukosekana kwenye kikosi hicho ni matatizo ya kifamilia…

Read More

WINGA HUYU WA KAZI AWEKWA RADA ZA YANGA

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wanamtazama kwa ukaribu kiungo wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Aziz Ki ili waweze kupata saini yake. Nyota huyo pia anatajwa kuingia kwenye rada za Simba ambao nao pia wanahitaji kumpata kwa ajili ya msimu mpya. Nyota huyo ni raia wa Burkina Faso aliweza kufanya vizuri akiwa na timu yake…

Read More

SIMBA KUMCHOMOA KIUNGO KUTOKA KWA WAARABU

IMEELEZWA kuwa miongoni mwa nyota ambao wapo kwenye hesabu za kuweza kusajiliwa ndani ya Simba ni pamoja na kiungo Luis Miquissone. Nyota huyo alikuwa ndani ya Simba msimu wa 2020/21 na alijiunga na Al Ahly msimu wa 2021/22 ambapo kwa sasa bado yupo huku nchini Misri. Waarabu hao wa Misri msimu huu wamekwama kushinda taji…

Read More

RASHFORD AIGOMEA SPURS

 MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Marcus Rashford ameigomea ofa ya Tottenham Spurs na badala yake anataka kuanza upya kuipambania namba ndani ya United. Nyota huyo anataka kuanza kupambana upya msimu ujao chini ya Kocha Mkuu, Eric Ten Hag kwa mujibu wa taarifa. Rashford mwenye miaka 24 alikuwa na msimu mbaya ndani ya Old Trafford kwa kuwa…

Read More

LACAZETTE NI MALI YA LYON

MSHAMBULIAJI wa Arsenal Alexandre Lacazette amesajiliwa tena Lyon kwa uhamisho wa bila malipo miaka mitano baada ya kuondoka na kujiunga na The Gunners kwa rekodi ya klabu wakati huo ya euro 46.5m. Lacazette anarejea katika klabu hiyo ya Ufaransa kwa mkataba wa miaka mitatu hadi Juni 2025. Mshambuliaji huyo wa Ufaransa alifunga mabao 54 katika…

Read More