
MZAMBIA SIMBA APEWA MKATABA WA KAZI KISA LWANGA
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco amelazimika kumuongezea kandarasi kiungo wa Zambia, Rally Bwalya kwa ajili ya msimu ujao. Sababu kubwa inatajwa kuwa ni kutokuwa fiti kwa kiungo mkata umeme Taddeo Lwanga raia wa Uganda. Kiungo Bwalya alisajiliwa Simba Agosti 15, 2020 akitokea Power Dynamos FC ya kwao Zambia alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada…