COASTAL UNION 0-0 AZAM FC

COASTAL Union 0-0 Azam FC, mshindi atapatikana kwa mikwaju ya penalti Uwanja wa Sheikh Amri Aeid Karume,Arusha.

Dakika 120 zimekamilika bila timu hizi kufungana.

Hivyo mshindi atapatikana kwa mikwaju ya penalti ili aweze kutinga hatua ya fainali.

Ni Yanga wametangulia hatua ya fainali inayotarajiwa kucezwa Julai 2,2022.