COASTAL UNION YATINGA HATUA YA FAINALI,KOMBE LA SHIRIKISHO
COASTAL Union ya Tanga leo Mei 29 imekata tiketi ya kutinga hatua ya fainali Kombe la Shirikisho kwa ushindi mbele ya Azam FC. Ilikuwa dakika 120 za kazi kwa kuwa dk 90 ubao ulisoma Coastal 0-0 Azam FC, na hata zilipoongezwa 30 kukamilisha 120 bado ngoma ilikuwa ni ngumu kwa timu zote. Mshindi amepatikana kwa…