Skip to content
December 18, 2024
  • IJUE CHELSEA MPYA YAPANDA KWENYE MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA
  • AL AHLY YATWAA TUZO TIMU YA MWAKA AFRIKA, DIAMOND ATOA SHOO
  • BARBRA BANDA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA KWA MWAKA 2024 KWA UPANDE WA WANAWAKE
  • ADEMOLA LOOKMAN ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA SHIRIKISHO LA SOKA AFRIKA (BALLON D’OR)

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2022
  • May
  • 26
  • BREAKING:SAID NTIBANZOKIZA NA AMBUNDO WATIMULIWA KAMBINI
  • Sports

BREAKING:SAID NTIBANZOKIZA NA AMBUNDO WATIMULIWA KAMBINI

Saleh3 years ago01 mins

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba nyota wao wawili, Dickson Ambundo na Said Ntibanzokiza wameondolewa kambini na Kocha Mkuu, Nasreddine NabI.

Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa Nabi ameamua kuwasisimamisha wachezaji hao na wakirudi Dar watafanya mazungumzo ili kujua nini ilikuwa tatizo

Post navigation

Previous: PABLO AWAPA KAZI MAALUMU MABEKI WAKE
Next: AZAM FC WAIFUATA COASTAL UNION ARUSHA

Related News

IJUE CHELSEA MPYA YAPANDA KWENYE MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA

Saleh8 hours ago 0

BARBRA BANDA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA KWA MWAKA 2024 KWA UPANDE WA WANAWAKE

Saleh14 hours ago 0

ADEMOLA LOOKMAN ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA SHIRIKISHO LA SOKA AFRIKA (BALLON D’OR)

Saleh15 hours ago 0

KIKOSI BORA CHA MWAKA CAF MWAKA 2024… ONANA WA MAN UTD NDANI

Saleh15 hours ago 0
Newsmatic - News WordPress Theme 2024. Powered By BlazeThemes.