AZAM FC WAIFUATA COASTAL UNION ARUSHA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa wachezaji wao wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Coastal Union. Leo Mei 26 kikosi hicho kimeanza safari kuelekea Mwanza kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mchezo wa mwisho uliopita Azam FC…