
AZAM FC YASEPA NA POINTI TATU MANUNGU
AZAM FC leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa mzunguko wa pili ambao umechezwa Uwanja wa Manungu, Morogoro. Ushindi huo unaifanya Azam FC kusepa na pointi tatu Uwanja wa Manungu leo Mei 21 na kufikisha pointi 36 kibindoni. Azam FC wakiwa wametoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1…