
SIMBA SC YAMFUATA RASMI LUIS
BAADA ya kuwepo kwa tetesi kwamba Al Ahly ina mpango wa kumtoa kwa mkopo winga wake, Luís Miquissone, inaelezwa kwamba, uongozi wa Simba fasta umemfuata mchezaji huyo kutaka kumrejesha kikosini hapo. Luis ambaye alikuwa mchezaji wa Simba kwa kipindi cha msimu mmoja na nusu kuanzia Januari 2020 hadi Agosti, 2021, tangu ajiunge na Al Ahly…