HITIMANA Thiery,Kocha Mkuu wa MC amesema kuwa walishindwa kutumia nafasi ambazo walizipata mbele ya Azam FC jambo ambalo limewafanya wapoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Bara kwa kufungwa mabao 2-1 hivyo watajipanga kwa ajili ya mechi zijazo kupata matokeo.