PACHA WA INONGA, SIMBA KIMEELEWEKA
SIMBA imefikia makubaliano mazuri na beki wa kati anayekipiga Cape Town City ya nchini Afrika Kusini, Mkongomani, Nathan Idumba. Idumba anasajiliwa na Simba kwa ajili ya kucheza pacha na Mkongomani mwenzake Henock Inonga ambaye ndiye beki tegemeo hivi sasa katika kikosi cha Mhispania, Franco Pablo. Kutua kwa Idumba katika kikosi cha Simba, kutafungua njia…