MBIO ZA TOP 4 NA UBINGWA KUTAWALA VIWANJANI

Wakati tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwezi April na kuukaribisha mwezi Mei wikiendi hii, ligi kuu soka nchi mbalimbali nazo zinaelekea ukingoni mwa msimu wa 2021/22. Burudani ya soka siku zote inaonekana mwishoni mwa misimu, ni muda wa kuwekeana heshima viwanjani.

 

Meridianbet tunanafasi ya kukuheshimisha zaidi kitaani kwako kwa kukupatia Odds na Bonasi kubwa kwenye mkeka wako wikiendi hii. Jamvi lako linaweza kuwa hivi;

 

Sevilla kuwaalika Cadiz ndani ya Estadio Sanchez Pizjuan. Sevilla wameshinda michezo 3 ya awali waliyocheza dhidi ya Cadiz. Vilevile, huu ni mchezo ambao pointi 3 ni muhimu kwa timu zote wakati huu ambao wanapambania kuimarisha nafasi zao kwenye LaLiga. Meridianbet tumekuweka Odds ya 1.57 kwa Sevilla.

Jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla itakua imeelekeza macho na masikio kwenye Uwanja wa Mkapa. Yanga kuchuana na Simba katika muendelezo wa Ligi ya NBC. Kariakoo Derby ni mchezo wa kipekee kwenye historia ya soka la Tanzania, hapa unawakutanisha maelfu ya Watanzania ndani na nje ya nchi kwenye mchezo huu wa watani wa jadi. Nani ni nani wikiendi hii? Weka dau lako na Meridianbet!!

 

Mbio za top 4 nchini Uingereza zinahamia London Stadium, West Ham United kuwaalika Arsenal. Ni tofauti ya pointi 8 kati ya timu hizi na, The Gunners wanaingia uwanjani wakiwa wametoka kuwafunga Chelsea na Man United huku The Hammers wakiwa wametoka kupigwa na The Blues. Dakika 90 zitaishaje? Ifuate Odds ya 1.79 kwa Arsenal.

 

Ni mchezo wa kuwekeana heshima ndani ya Glasgow Derby nchini Scotland. Inavyoonekana, Celtic wanaweza kutwaa ubingwa msimu huu lakini, Rangers ni wapinzani wao wa muda wote. Heshima ni kitu ambacho kinatafutwa kwa udi na uvumba zinapokutana timu hizi. Wameshakutana mara 3 msimu huu na Celtic wameshinda mara 2 na kupoteza mara 1, hii ni mara ya 4 wanakutana, hali itakuaje? ,Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.01 kwa Celtic.

Manchester United wataendelea kupambana na hali yao watakapocheza mchezo wao wa mwisho ndani ya Old Trafford dhidi ya Brentford. Kiuhalisia, United hawana jipya msimu huu, hali yao ni mbaya! Hii haimaanishi The Bees wanamchezo mrahisi, hapana. Odds ya 1.76 ipo Meridianbet ukiichagua Man United ambayo itahitaji kumaliza msimu kibabe Old Trafford.