MOJA ya mabao bora ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 hata ukitaja mawili,huwezi liweka kando alilofunga mzawa Shiza Kichuya anayekipiga Namungo mbele ya Yanga.
Ni bao lenye majabu kati yale matatu aliyonayo aliweza kumtungua Diarra Djigui kwa mguu wa kushoto akiwa nje ya 18,Uwanja wa Mkapa.
Tupo naye leo kwenye data kucheki namna mguu wake ulivyo na nguvu awapo uwanjani:-