HABARI NJEMA KWA WAPENDA SOKA, INFINIX YAJA NA MASHINDANO YA HOT LEAGUE,
Infinix imekuja na mashindano ya HOT LEAGUE, mashindano haya yatafanyika kwa ushindani mkubwa sana yakishirikisha vijana wa kuanzia umri wa 18-25 kutoka vyuo vikuu pamoja na timu za wilaya mbali mbali za jijini Dar es Salaam. Usajili utaanza rasmi 20/4 na utafanyika kwa muda wa siku 4 kuanzia saa 4:00 Asubuhi katika viwanja…