LEO Aprili 17 2022, Uwanja wa Mkapa wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho ambao ni Simba wanatarajiwa kusaka ushindi mbele ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini.
Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kitaanza Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku itakuwa namna hii:-