
SIMBA YAKIRI KUWA MCHEZO DHIDI YA POLISI TANZANIA UTAKUWA MGUMU
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mchezo wa kesho dhidi ya Polisi Tanzania utakuwa mgumu na ushindani mkubwa. April 10,saa 10:00 jioni Simba itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania. Leo wachezaji wa Simba wamefanya mazoezi ya mwisho ikiwa ni pamoja na Aishi Manula, Joash Onyango, Sadio Kanoute, Rally…