VIDEO:MBISSA AZUNGUMZIA KILICHOWAPONZA MKWAKWANI

MUSSA Mbissa kipa namba moja wa Coastal Union amesema kuwa walifanya makosa kwenye mchezo dhidi ya Simba jambo ambalo linawafanya waweze kujipanga kwenye mechi zijazo.

Mbissa ameweka wazi kuwa alikuwa akitimiza majukumu yake bila kupoteza muda na akiweka wazi kwamba Meddie Kagere alitulia kwenye kufunga bao la ushindi Uwanja wa Mkwakwani.