SIMBA NDANI YA TANGA,MKWAKWANI KUKIWASHA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba baada ya kumaliza mchezo wao wa kimataifa dhidi ya USGN kituo kinachofuata ni Aprili 7 dhidi ya Coastal Union. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa Simba ilifanikiwa kuwatoa kimasomaso Watanzania na Afrika Mashariki kiujumla kwa kuweza kutimiza msemo wa ‘Kwa Mkapa Hatoki Mtu’. Mchezo huu wa Alhamisi…

Read More

MOLOKO,NGUSHI WAREJEA KUIVAA AZAM FC

CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa kuna wachezaji ambao wamerudi kwenye kikosi baada ya kuwa nje kwa muda kutokana na kutibu majeraha. Kesho Yanga inatarajiwa kusaka pointi tatu mbele ya Azam FC ambao nao pia waazihitaji pointi hizo. Kaze amesema:”Wapo baadhi ya wachezaji walikuwa nje kutokana na majeruhi lakini kwa sasa wameanza mazoezi…

Read More

MBEYA KWANZA WANA REKODI YAO BONGO

KIKOSI cha Mbeya Kwanza kinashikilia rekodi ya kuwa timu namba moja iliyoshinda mechi chache ndani ya ligi kwa msimu wa 2021/22. Ikiwa imecheza mechi 18 ni mechi mbili pekee imeshinda ambazo ni dakika 180 huku ikiwa imeambulia kichapo kwenye mechi 8. Sare imeambulia kwenye mechi 8 na kibindoni ina pointi 14 ikiwa nafasi ya 16…

Read More

SIMBA ROBO FAINALI KUKIPIGA NA ORLANDO PIRATES

BAADA ya kutinga hatua ya robo fainali Simba imepangwa kukutana na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu,Pablo Franco ina kibarua cha kuanza kusaka ushindi Uwanja wa Mkapa, Aprili 17 mchezo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kete ya mwisho itakayoamua Simba kutinga hatua ya nusu fainali itakuwa ni Aprili 24,Uwanja wa…

Read More

NABI HUYO MPANGO WAKE HUU HAPA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa anahitaji kushinda kwenye mechi zake zote ikiwa ni pamoja na dabi mbili mbele ya Azam FC na Simba. Aprili 6, Yanga itamenyana na Azam FC Uwanja wa Azam Complex kisha itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Simba Aprili 30. Akizungumza na Spoti Xtra,Nabi…

Read More

SIMBA YATAJA MECHI NGUMU KIMATAIFA

MOHAMED Hussein Zimbwe Jr, beki wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba amesema kuwa mechi ambayo kwenye hatua ya makundi kwao anaamini ilikuwa na ushindani mkubwa ni ile dhidi ya ASEC Mimosas. Kwa sasa Simba imeweza kutinga hatua ya robo fainali na inasubiri kujua itamenyana na timu ipi baada ya droo kupangwa ya Kombe…

Read More

KIUNGO HUYU WA KAZI AINGIA ANGA ZA VINARA WA LIGI

RASHID Nortey raia wa Ghana anatajwa kuwa kwenye hesabu za kusajiliwa na Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 48 aada ya kucheza mechi 18 msimu wa 2021/22. Nyota huyo anacheza katika Klabu ya Medeama inayoshiriki Ligi Kuu ya Ghana. Rekodi zinaonyesha kuwa ni moja ya kiungo…

Read More

YANGA WANAHESABU NDEFU KWA AZAM FC

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa kesho dhidi ya Azam FC unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Kwa sasa Yanga inafanya maandalizi ya mwisho kabla ya kumenyana na Azam FC mchezo wa mzunguko wa pili kwa msimu wa 2021/22. Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa…

Read More