YANGA YAINGIA ANGA ZA NYOTA STARS
AKICHEZA mechi mbili akiwa na kikosi cha Taifa Stars kwa mara ya kwanza, straika George Mpole, tayari ameivutia Klabu ya Yanga inayotaka kumsajili kuelekea msimu ujao wa 2022/23. Mpole mwenye mabao nane kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu akiitumikia Geita Gold, hivi karibuni alikuwa sehemu ya kikosi cha Taifa Stars kilichocheza mechi mbili za kirafiki…