NYOTA DODOMA JIJI ALIYECHEZA YANGA AANZA KAZI
WAZIR Junior, ingizo jipya ndani ya kikosi cha Dodoma Jiji amefungua akaunit yake ya mabao kwa kutupia mbele ya Ruvu Shooting. Tayari ameanza kazi ya kucheka na nyavu na kituo kinachofuata ni mchezo wao dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 5. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza Dodoma Jiji ilipoteza kwa kufungwa…