KOCHA STARS:TUNA TIMU NZURI

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, Kim Poulsen, amesema kuwa Watanzania wanatakiwa kuelewa kuwa wana timu bora sana ya taifa kwa sasa na wanatakiwa kuwa na imani nayo na kutoa sapoti kubwa. Kim ameyasema hayo baada ya Stars kuibuka na ushindi mbele ya Afrika ya Kati wa mabao 3-1 kwenye mchezo wa…

Read More

YANGA KILA KONA WAMEIBANA SIMBA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamewabana kotekote mabingwa watetezi wa ligi na Kombe la Shirikisho, Simba kwa kuwa wazi kwamba wanahitaji kushinda kila sehemu. Kwenye Kombe la Shirikisho, Yanga imetinga hatua ya robo fainali na inatarajiwa kumenyana na Geita Gold na kwenye ligi, Yanga ni namba moja ikiwa na pointi 48 baada ya…

Read More

KOCHA ITALIA HAJAFURAHISHWA NA MATOKEO MABAYA

ROBERTO Mancini, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Italia amesema kuwa hajafurahishwa  na kutolewa katika hatua hiyo. Usiku wa kuamikia leo Timu ya Taifa ya Italia ilifungwa bao 1-0 dhidi ya North Macedonia. Bao pekee la ushindi lilipachikwa kimiani na Aleksandar Trajkovski dk 90+2 Uwanja wa Renzo Barbera. Sasa North Macedonia itacheza mchezo dhidi…

Read More

SIMBA YASAKA ATAKAYEMPA CHANGAMOTO TSHABALALA

MEFAHAMIKA kuwa Simba imeanza kumnyemelea beki katili wa kushoto anayekipiga ASEC Mimosas, Wonlo Coulibaly raia wa Ivory Coast. Nyota huyo ambaye alicheza kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dar ukiwa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba na kuchapwa mabao 3-1, inadaiwa amewavutia mabosi wa Msimbazi hivyo wanataka kufanya jambo. Beki huyo mwenye miaka 30, aliwahi kucheza TP Mazembe ya…

Read More