NEYMAR ANAVUTA MKWANJA MESSI
TAARIFA ya orodha ya wachezaji wanaoingiza mshahara mrefu kwenye Ligue 1 imetoka, huku mchezaji nyota zaidi kwenye ligi hiyo, Lionel Messi anayekipiga PSG akishika namba mbili kwa kuingiza kitita cha Euro milioni 3.3 (sawa na Sh bilioni 8.5) kwa mwezi. Takwimu hizo zilizotolewa na gazeti la L’Équipe zinaonesha kuwa sasa mchezaji huyo raia wa Argentina…