TAIFA STARS YASHINDA 3-1 JAMHURI YA AFRIKA YA KATI
TIMI ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo Machi 23 imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati katika mchezo wa kirafiki ambao upo kwenye kalenda ya FIFA. Ni bao la Novatus Dismas dk 9 aliweza kupachika bao hilo kwa pigo huru akiwa nje ya 18 baada ya kiungo Feisal…