SIMBA YAPOTEZA KIMATAIFA BAO 3-0 YACHAPWA
UGENINI Simba imepoteza kwa kufungwa mabao 3-0 huku mabao yakipachikwa na Aubin Kramo Kouame dk 16,Stephane Aziz dk 23 na Karim Konate dk 57. Licha ya Air Manula kuokoa penalti mbili bado kazi ilikuwa ngumu kwa washambuliaji kuweza kucheka na nyavu. Katika kundi D sasa pointi inashushwa kutoka nafasi ya kwanza mpaka nafasi ya tatu…