MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya kikosi cha Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa anaamini anaweza kuwa mfungaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22.
Machi 14,2022 Mayele alikabidhiwa zawadi yake ya Ng’ombe na shabiki wa Yanga wa Morogoro baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa ligi na kwa sasa tayari amekabidhiwa zawadi hiyo.