SportsVIDEO:SIMBA ULAYA NA NENO LAKE HILI,PASI MILIONI Saleh3 years ago01 mins SHABIKI wa Simba, mzee Ulaya maarufu kama pasi milioni ameweka wazi kuwa mpira uliochezwa Uwanja wa Mkapa wakati ubao ukisoma Simba 1-0 RS Berkane Machi 13 ulikuwa mkubwa na walistahili ushindi huku akitupa dongo kimtindo kwa watani zao wa jadi. Post navigation Previous: VIDEO:TAZAMA KOCHA WA YANGA AKIPEANA MKONO NA SIMBANext: NG’OMBE WA MAYELE ATUA DAR LEO