KIMATAIFA:SIMBA 1-0 RS BERKANE

UWANJA wa Mkapa, mchezo wa kimataifa kati ya Simba v RS Berkane dakika 45 za awali zimemeguka.

Ubao unasoma Simba 1-0,RS Berkane hivyo dakika 45 za kipindi cha pili zitaamua.

Mtupiaji wa bao la kuongoza ni Pape Sakho ilikuwa dk ya 44 kwa shuti la mguu wa kulia akiwa ndani ya 18.

Kutokana na kucheza faulo mara kwa mara kiungo wa Simba Sadio Kanoute ameonyeshwa kadi ya njano.