FT: SIMBA YAWATUNGUA RS BERKANE KWA MKAPA
UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 1-0 RS Berkane katika mchezo wa Kombe ma Shirikisho uliochezwa leo Machi 13. Ni mchezo ambao ulimalizwa na Simba kipindi cha kwanza kwa bao pekee la ushindi la Pape Sakho dakika ya 44. Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa awali uliochezwa Morocco, Berkane ilishinda kwa mabao 2-0. Florent Ibenge…