SHABIKI WA SIMBA,ARSENAL ASHINDA SH 176.5 M ZA M-BET
SHABIKI wa Klabu ya Simba na Arsenal Swalehe Enzi ameshinda kitita cha sh 176,470,910 kupitia mchezo wa kubashiri wa Perfect 12 wa kampuni ya M-Bet Tanzania. Enzi ambaye ni mkazi wa Mtwara ameshinda kiasi kikubwa cha fedha hizo baada ya kubashiriki kwa usahihi matokeo ya mechi 12 za soka za ligi mbalimbali duniani kwa kutumia…