NYOTA HAWA WA SIMBA KUIKOSA MECHI YA KIMATAIFA KWA MKAPA
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco Martín amesema kuwa Katika mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) dhidi ya ASEC Mimosas watawakosa nyota wao watano kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo majeruhi. Wachezaji hao ni mshambuliaji Chris Mugalu ambaye amevunjika mkono hivyo hatahusika katika mchezo huo, Kibu Denis ambaye anatarajiwa kuanza mazoezi mepesi. Pia…