VIDEO:TAMBO ZA MASHABIKI WA SIMBA,WAIOMBA RADHI RUVU SHOOTING
MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kwamba ushindi ambao wameupata wa mabao 7-0 dhidi ya Ruvu Shooting wanajua kwamba kuna maombolezo na wote wanaombeleza lakini kwenye mpira Simba wakiwa wanataka kitu lazima kikamilike hivyo wanaomba radhi kwa yaliyotokea. Ushindi wa mabao 7 Uwanja wa Mkapa unaifanya Simba kutinga hatua ya robo fainali inaungana na Yanga,Pamba,Polisi Tanzania,Azam…