SIMBA YASHINDA MBELE YA RUVU SHOOTING 7-0

UWANJA wa Mkapa Simba imeshinda mbele ya Ruvu Shooting kwa kutupia mabao 7-0. Kipindi cha kwanza Simba walitupia mabao matano ilikuwa kupitia John Bocco na Clatous Chama ambao walitupia mabao mawilimawili na bao moja ilikuwa ni la kujifunga kwa Michael Masinda ilikuwa dakika ya 44. Kipindi cha pili Ruvu Shooting walifanya mabadiliko kwa kumtoa kipa…

Read More

BAO LA SAKHO LACHAGULIWA KUWA BORA KIMATAIFA

BAO la kiungo mshambuliaji wa Simba, Pape Sakho limechaguliwa kuwa bao bora la wiki katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Kiungo huyo alipachika bao hilo Februari 13,2022 katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ilikuwa ni kwa mtindo wa Acrobatic. Alipachika bao hilo la ufunguzi katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya…

Read More

AZAM FC:UWANJA WA KARUME UNA HALI MBAYA

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Karume, Mara huku tatizo kubwa likitajwa kuwa ni ubora wa uwanja. Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa tatizo kubwa waliloliona kwa sasa ni Uwanja wa…

Read More

MBAPPE ATUPIA USIKU MBELE YA REAL MADRID

KYLIAN Mbappe staa wa Klabu ya PSG aliweza kuwatungua bao la ushindi Real Madrid katika mchezo wa UEFA Champions League hatua ya 16 bora. Ilikuwa dakika ya 90+4 nyota huyo aliweza kupachika bao hilo katika mchezo huo wa kwanza uliokuwa mkali mwanzo mwisho. PSG katika Uwanja wa Parc des Princes waliweza kupiga jumla ya mashuti…

Read More

MASTAA SITA WA SIMBA KUIKOSA RUVU SHOOTING

MASTAA sita wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco ikiwa ni pamoja na Sadio Kanoute, Pape Sakho leo Februari 16 wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora Uwanja wa Mkapa. Kanoute na Sakho waliumia kwenye mchezo dhidi ya ASEC Mimosas ambao ulikuwa ni wa Kombe la Shirikisho na Simba iliibuka…

Read More

TWAHA ASAINI DILI LA KUPANDA ULINGONI KUZICHAPA

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Twaha Kiduku Jumanne ya Februari 15 amesaini mkataba wa kupanda ulingoni kuzichapa dhidi ya Alex Kabangu kutoka DR Congo katika pambano litakalopigwa Machi 26, mwaka huu katika Ukumbi ambao utapangwa mkoani hapa. Kiduku atapanda ulingoni kwenye pambano hilo la kimataifa baada ya kumchakaza Dullah Mbabe Agosti mwaka jana katika…

Read More

MANCHESTER CITY YAPIGA MKONO HUKO

PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City usiku wa kuamkia leo ameshuhudia vijana wake wakisepa na ushindi mnono katika mchezo wa raundi ya 16, UEFA Champions League. Timu hiyo ambayo inaongoza Ligi Kuu England iliibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Sporting katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Jose Alvalade. Ni mabao ya Riyad Mahrez…

Read More