BIG MATCH ZIPO KULE URENO NA UHISPANIA WIKIENDI HII, MCHONGO NDIO HUU

Primeira Liga, La Liga, EPL na Serie A zinaweza kukupa faida kubwa wikiendi hii. Sehemu sahihi ya kuweka dau lako ni Meridianbet pekee! Huku ndio kuna Odds Bora na Bonasi kedekede! Mambo yapo hivi;

Ijumaa usiku, kutachezwa mechi ya kibabe kule Ureno ambapo, FC Porto watawaalika mahasimu wao, Sporting CP. Porto wanaingia uwanjani wakiwa wanamkosa nyota wao Luis Diaz ambaye amesajiliwa Liverpool kwenye majira haya ya baridi. Mbio za kuwania ubingwa wa Primeira Liga zinashika kasi, nani ni nani? Ifuate Odds ya 2.06 kwa Porto ndani ya Meridianbet.

Kwenye Serie A, Inter Milan watafata Napoli katika muendelezo wa Serie A. Huu ni mchezo ambao, Inter wanamachungu ya kupoteza dhidi ya AC Milan lakini pia, Napoli bado wanaenda sambamba na Inter katika kuwania ubingwa msimu huu. Ni tofauti ya pointi 1 pekee inawatenganisha katika nafasi ya 1 na 2. Wote wanauwezo wa kufumania nyavu, Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.55 kwa Inter.

 

Kuna EPL jumapili hii, Leicester City watachuana na West Ham United ndani ya King Power Stadium. The Foxes wanaonekana kususua uwanjani huku Brendan Rogers akiwa kwenye kiti cha moto. The Hummers wanajambo lao, wanaisaka nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao- watafanikiwa? Tumia fursa ya kuifata Odds ya 2.40 kwa West Ham kupitia Meridianbet.

 

Kule kwenye LaLiga, Catalunya Derby itarindima! Ni Espanyol vs FC Barcelona. Hizi ni timu zinazotoka jiji moja (Catalunya), upinzani wake ni mkubwa kwani hawa ni majirani. Hakuna ujirani mwema zinapokutana timu hizi uwanjani, dakika 90 zote ni vuta n’kuvute. Meridianbet napo ni vivyo hivyo, mvuto wao upo kwenye Odds ya 1.75 kwa Barca.