KIBU DENIS, DILUNGA MAJANGA SIMBA
MENEJA Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amefungukia maendeleo ya wachezaji wao Kibu Denis na Hassan Dilunga ambao kwa sasa ni majeruhi. Hiyo ni katika kuelekea mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi dhidi ya Asec Mimosas utakaochezwa Jumapili ya wiki hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Akizungumza na…