
YANGA WAZITAKA POINTI ZA MTIBWA SUGAR
KIUNGO wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, Dickson Ambundo amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar. Yanga wana kazi ya kusaka pointi mbele ya Mtibwa Sugar ambao watakuwa kwao huku wakiwa na kumbukumbu ya kuishuhudia Simba ikitoka suluhu ilipokwenda kucheza huko hivi karibuni. Katika msimamo…