ZILIANZA kumeguka dakika 45 kwa miamba miwili Senegal v Mali kutofungana katika mchezo wa fainali ya AFCON 2021 nchini Cameroon.
Katika dakika ya 2, Senegal walipata penalti ikapigwa na Sadio Mane na kipa wa Misri aliweza kuipangua baada ya kupewa maujuzi kutoka kwa Mohamed Salah.
Zikameguka dakika 90 ngoma ikawa Senegal 0-0 Misri na hata zilipoongezwa dakika 30 ngoma ipo vilevile.
Sasa mshindi atapatikana kwa mikwaju ya penati leo Februari 7,2022 nchini Cameroon.