TANZANITE IPO KAMILI GADO

BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu za Taifa za Wanawake, Bakari Shime amesema kuwa wana imani ya kupata matokeo katika mchezo wa marudio dhidi ya Ethiopia. Shime yupo na kikosi kazi cha Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite na inatumia Uwanja wa Black Rhino kufanyia mazoezi. Kwa sasa timu hiyo imeweka…

Read More

AUBAMEYANG HUYO BARCELONA BURE

ARSENAL imekubali kumuacha nyota wake Pierre Aubameyang ajiunge na Barcelona bure ili aweze kupata changamoto mpya wakati mwingine akisepa ndani ya Ligi Kuu England. Auba mwenye miaka 32 anaondoka ndani ya kikosi hicho ikiwa ni muda mfupi baada ya kuvuliwa kitambaa cha unahodha. Mshambuliaji huyo hakuweza kucheza katika timu hiyo tangu Desemba 6 2021. Anasepa…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU MBEYA CITY

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga kwa sasa wanaipigia hesabu Mbeya City kuelekea kwenye mchezo wao ujao wa ligi. Februari 5 Uwanja wa Mkapa Yanga yenye pointi 35 ikiwa nafasi ya kwanza inatarajiwa kumenyana na Mbeya City. Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddien Nabi amesema kuwa ambacho wanahitaji kwenye mchezo huo ni pointi tatu. “Kikubwa…

Read More

PABLO:WACHEZAJI SIMBA WAMEKOSA HALI YA KUJIAMINI

PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake kwa sasa wamekosa hali ya kujiamini kutokana na kushindwa kufunga kwenye mechi tatu mfululizo jambo ambalo linafanyiwa kazi. Kwa sasa kwenye ligi Simba imekusanya pointi 25 ikiwa nafasi ya pili na imefunga mabao 14 huku Yanga ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 35 na imetupia jumla…

Read More

PANCHA YAKWAMISHA MIPANGO YA KMC KUTUSUA KIMATAIFA

HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa KMC ameweka wazi kuwa miongoni mwa sababu ambazo zimewafanya washindwe kusonga mbele katika hatua ya 16 bora kwenye Kombe la Shirikisho ni pamoja na tatizo la pancha ambalo liliwakuta wakiwa njiani. Kutolewa kwa timu hiyo katika hatua hiyo kumeyeyusha ndoto ya timu hiyo kuweza kuipeperusha Tanzania kimataifa kwa sababu bingwa…

Read More

KILICHOPANDWA KIMEVUNWA KOMBE LA SHIRIKISHO

MATUKIO ambayo yamekuwa yakitokea kwenye mechi uwanjani yapo yanayokera na yanayofurahisha lakini muhimu kila mmoja kuwa makini katika kutekeleza majukumu yake. Tumeona kwamba kuna wachezaji ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa nah ii inatokana na hasira lakini kwa namna yoyote ile ni lazima kila mchezaji kuwa mlinzi wa mchezaji mwenzake. Kwa timu ambayo itakosa kupata matokeo…

Read More