
FT:SIMBA 6-0 DAR CITY,KOMBE LA SHIRIKISHO
USHINDI wa mabao 6-0 dhidi ya Dar City unaipa nafasi Simba kutinga hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho. Ni katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa na Simba waliweza kwenda mapumziko wakiwa wametupia mabao manne. Ni Meddie Kagere alitupia mabao mawili huku Clatous Chama na Rally Bwalya wakitupia bao mojamoja. Kipindi cha pili Pascal Wawa…